Shared Flashcard Set

Details

Drinks
(vinywaji)
35
Language - Other
Undergraduate 4
10/19/2008

Additional Language - Other Flashcards

 


 

Cards

Term
drink / drinks
Definition
kinywaji / vinywaji
Term
tea
Definition
chai
Term
coffee
Definition
kahawa
Term
alcohol
Definition
pombe
Term
water
Definition
maji
Term
lemonade
Definition
maji ya limao/limau
Term
orange juice
Definition
maji ya machungwa
Term
mango juice
Definition
maji ya maembe
Term
guava juice
Definition
maji ya mapera
Term
lime juice
Definition
maji ya ndimu
Term
milk
Definition
maziwa
Term
wine
Definition
mvinyo / divai
Term
soda
Definition
soda
Term
spirits
Definition
spiriti
Term
whiskey
Definition
wiski
Term
beer
Definition
bia
Term
coconut juice
Definition
maji ya nazi
Term
apple juice
Definition
maji ya matofaa
Term
pineapple juice
Definition
maji ya mananasi
Term
juice/fruit juice
Definition
jusi
Term
milk tea
Definition
chai ya maziwa
Term
a cup of tea/coffee
Definition
kikombe cha chai/kahawa
Term
a glass of wine/milk/juice
Definition
glasi ya mvinyo/maziwa/jusi
Term
a drunkard
Definition
mlevi
Term
hard alcohol
Definition
pombe kali
Term
bar
Definition
baa
Term
bottle
Definition
chupa
Term
glass
Definition
glasi
Term
tin
Definition
mkebe
Term
packet
Definition
pakiti
Term
any
Definition
yoyote/chochote
Term
Ask & Answer: What kind of drink do you like?
Definition

Unapenda kinywaji gani?

-Ninapenda _____.

-Ninapenda chai na kahawa.

-Ninapenda chai, kahawa na maji.

-Ninapenda chai lakini sipendi pombe.

-Sipendi kinywaji chochote.

Term
Ask & Answer: What do you like to drink?
Definition

Unapenda kunywa nini?

-Ninapenda kunywa _____.

-Ninapenda kunywa chai na kahawa.

-Ninapenda kunywa chai, kahawa na maji.

-Ninapenda kunywa chai lakini sipendi kunywa pombe.

-Sipendi kunywa chochote.

Term
Ask & Answer: What does your friend/brother/mother like to drink?
Definition

Rafiki/kaka/mama yako anapenda kunywa nini? -Rafiki/kaka/mama yangu anapenda kunywa _____.

-Anapenda kunywa _____.

-Hapendi kunywa _____.

-Hapendi kunywa chochote.

Term
Ask & Answer: What alcohol do you like to drink?
Definition

Unapenda kunywa pombe gani?

-Ninapenda kunywa divai.

-Ninapenda kunywa divai na bia.

-Ninapenda kunywa divai lakini sipendi kunywa bia.

-Sipendi kunywa pombe yoyote.

Supporting users have an ad free experience!